Kuna habari ya kusikitisha nimeipata kwamba, ajali mbaya imewachukua wanafunzi Maretadu mkoani Manyara. Wanafunzi hao wa shule ya msingi Maretadu Chini, waliangukiwa na kifusi hapo pichani katika Korongo, kitongoji cha Gidif.
Wawili walifariki palepale na mmoja kalazwa Hospitali ya Haydom na hali yake inaendelea vizuri.
Wawili walifariki palepale na mmoja kalazwa Hospitali ya Haydom na hali yake inaendelea vizuri.
Chanzo: Jamii forum.

Comments